info@djcss.com   |   +255755405492
English FAQ Contact

Dr. John Chacha Secondary School

Learning for Leading
NEW Admission is open for Form I-IV | Call +255 620 686 736 for inquiries
Apply Now →
Reading on ...

MASOMO YA PRE-FORM ONE YAANZA......

MASOMO YA PRE-FORM ONE YAANZA......

Karibu DR. JOHN CHACHA SECONDARY SCHOOL

Tumeanza kufundisha na kuwaandaa wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi kwa masomo ya secondary (PRE FORM ONE) leo tarehe 15/09/2025 mpaka tarehe 05/12/2025.

Tunafundisha masomo yafuatayo:-

  • HISTORIA NA MAADILI
  • BASIC MATHEMATICS
  • BIOLOGY
  • PHYSICS
  • ENGLISH
  • CHEMISTRY

    Pia tunatoa kozi zifuatazo:-

  • Computer course
  • English course

    - Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao Dr. JOHN CHACHA SECONDARY kwa maandalizi ya kumwandaa mwanao na masomo ya secondary.

    - Tunapokea wanafunzi wa BWENI na KUTWA 

    Ada zetu ni nafuu na hulipwa kwa awamu 

  • Wanafunzi wa BWENI watalipia 200,000/= (laki mbili tu kwa muda wa miezi mitatu)
  • Wanafunzi wa KUTWA watalipia 25,000/= (kwa kila mwezi)


academic
Published on: September 15, 2025
News Bulletins
Welcome note
Headmaster
Patrick Pius Peter

School Headmaster

It is a great pleasure to welcome you here and thank you for taking the time to browse our website. Dr. John Chacha Secondary School is ...

Read more
Latest Events
No events available
Staff Profiles
Deputy Headmaster
Deputy Headmaster
Academic Master
Academic Master
Weekly Prayers
Programs This Week
  • Monday: School Debate
  • Tuesday: General Cleanliness
  • Wednesday: Sports and Games
  • Thursday: Sports and Games
  • Friday: Shamba activities
  • Saturday: Personal Studies
  • Sunday: Sunday service
School Statistics -
0

Teachers

0

Form One

0

Form Two

0

Form Three

0

Form Four

0

Total Students